KILIO na zigo zito la lawama liwaangukie wahusika wakuu ambao wanahusika na utoaji wa mikopo kwa wananfunzi. Wakizungumza na chanzo chetu kwa nyakati mbali mbali wanafunzi wa chuo kukubwa hapa nchini wamelalamikia kucheleshewa FEDHA zao za kujikimu kwani mpaka sasa hawajapata kitu na hawaelewi hali yao ya baadae itakuaje CHUONI hapo.
Moja kati ya waathirika wa janga hilo la kucheleweshewa mkopo ni CHUO kikuu cha nchini hapa ambacho jina lake tunalihifadhi,. Wanafunzi chuoni hapo wamechoka na maisha magumu ambayo wameendelea kushi chuoni hapo na kudai kuwa kama hali itaendelea hivyo basi hawatakuwa na budi zaidi ya KURUDI majumbani kwao.
Picha iliyopo hapo juu nimmoja kati ya wanafunzi ambao inasemekana kuamua kuuza mwili wale ili apate walau fedha za kujikimu na masiha ya chuoni hapo kwani hali imekuwa ni mbaya hya kutisha, picha hiyo ambyo inaonekana kuvuja katika mitandao mingi hivi sasa inamuonyesha kimwana huyo akiwa mtupu kabisa.
Hivi serikali na mamlaka husika inayatambua haya matatizo ya wanafunzi kweli? Au ndo tunasubiri mpaka vijana wetu wagome ili tuwaite hawana nidhamu??

No comments:
Post a Comment